Video Kibu azua utata Simba, Awesu Awesu na Willy Onana wakiwasili kambini Misri Jumatatu, Julai 22, 2024
PRIME Ligi ya Mabingwa Afrika: Yanga mikononi mwa vigogo YANGA imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu hiyo katika michuano hiyo ya CAF na sasa inasubiri kujua itapangwa na vigogo...
Hii ndio Simba tunayoitaka sasa HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika...
PRIME Dau la Elie Mpanzu Simba KAMA ulidhani ni utani, basi utakuwa unakosea, kwani Wekundu wa Msimbazi, Simba wameamua msimu huu kufanya yao na wakati wowote watamtangaza winga mpya, Elie Mpanzu ambaye inadaiwa amevuta...