Hii ndio Simba tunayoitaka sasa HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika...
Simba, Dodoma Jiji kupigwa Jamhuri HATIMAYE Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umerejeshwa katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/2025, baada ya kufanyiwa maboresho katika maeneo ambayo...
Kimenya aongeza idadi ya wastaafu Prisons IDADI ya wachezaji wa Tanzania Prisons kutamani kustaafu soka imeendelea kuongezeka baada ya Salum Kimenya, kuonesha nia ya kutundika daruga ili kugeukia shughuli nyingine nje ya uwanja.
Fei Toto amkingia kifua Prince Dube KIKOSI cha Yanga jana usiku kilikuwa uwanjani kurudiana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mashabiki wakiwa bado wanamuota Prince Dube kwa...
Mbwana Makata akiri mambo magumu WAKATI mashabiki wa Prisons wakishangazwa na matokeo ya sare nne mfululizo, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbwana Makata amesema ligi ni ngumu na haina cha nyumbani na wala ugenini, huku akipongeza...
Hii ndio Simba tunayoitaka sasa HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika...
Bomu mkononi - Sehemu ya 9 KUNGWI wangu akanitazama kisha akaniuliza. “Inakuwaje unatangulia kulala, tena unajifanya unakoroma wakati mume wako anaoga. Wakati mume wako anapanda kitandani ana mahitaji yake kwako, wewe...
JKU yapiga mtu 9-0 Ligi Kuu Zanzibar WATETEZI wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), JKU juzi walitoa dozi ya maana baada ya kifumua Mwenge kwa mabao 9-0 na katika mechi ya upande mmoja ya ligi hiyo, huku nyota wa timu hiyo Mudrik Abdi Shehe...
Mlandege yaona mwezi Zanzibar MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2024, Mlandege jana imeonja ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar kwa msimu huu baada ya kuinyoa Mafunzo kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan kwa Wazee mjini...
Malindi haishikiki Zenji, Kibadeni apiga Hat Trick MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, Malindi imeendelea kuonyesha dhamira ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, baada ya jana kuwanyooshaa wageni wa ligi hiyo, Inter Zanzibar kwa...
PRIME JICHO LA MWEWE: Miaka 26 baadae, kutoka Mmachinga hadi Aziz Ki MIAKA 26 iliyopita, mwaka 1998 nilikatiza katika geti la Magharibi la Shule ya Sekondari ya Jitegemee kwenda uwanja wa zamani wa Taifa, (sasa Uhuru maarufu Shamba la Bibi) kushuhudia Yanga...
CAFCL: Al Ahly yaanza na moto ule ule WATETEZI wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri imeanza na moto kwa kuikandika Gor Mahia ya Kenya ikiwa jijini Nairobi ikiendeleza pale ilipoishia msimu uliopita ilipotwaa taji la pili...
Siri ya vidole vitatu vya Ronaldo ni hii SIRI ya staa wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo kumuonyesha mtoto wake ishara ya vidole vitatu baada ya kufunga bao kwenye mchezo dhidi ya Al-Ettifaq imefichuka.