JICHO LA MWEWE: Miaka 26 baadae, kutoka Mmachinga hadi Aziz Ki
MIAKA 26 iliyopita, mwaka 1998 nilikatiza katika geti la Magharibi la Shule ya Sekondari ya Jitegemee kwenda uwanja wa zamani wa Taifa, (sasa Uhuru maarufu Shamba la Bibi) kushuhudia Yanga...