Kizz Daniel ni mkali kuliko Kiss Daniel! KUNA wakati wasanii hulazimika kufanya mabadiliko madogo katika majina kwa sababu mbalimbali ila mara nyingi imeonekana wanafanya hivyo ili kupendezesha na kukuza upya chapa zao mbele ya mashabiki.
Hii ndio Simba tunayoitaka sasa HII ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe katika...